From the recording Only You

Lyrics

Moyo, hauna macho
Ila umekuona wewe
Oh jamani wewe
Hata hisia zangu
nazo zimedata
Juu yako wewe
Jamani wewe

Mwenzako nahisi labda naota
Mimi kuwa na wewe
Mimi kuwa na wewe

Nikikosa nichapa
Usinune my boo
Ukinuna utafanya roho yangu itakuwa juu
Maana only you
Only you
Only you
Only you
O, only you
Only you
Only you
Only you

I love you

Jana naiona leo
Mi nimepinda vibaya
Nafisi ya upendeleo
Nimefunika riwaya
Penzi lisiwe lavichongeo
Kila mmoja apite mwaya
Kilinde kinyama chako
Wasikifanye vibaya

Nikikosa nichapa
Usinune my boo
Ukinuna utafanya roho yangu itakuwa juu
Maana only you
Only you
Only you
Only you
O, only you
Only you
Only you
Only you

"Twak Made It"